Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, August 4, 2012

Meli za mafuta zashambuliwa na Maharamia huko Nigeria...!

Pwani ya Niger Delta
Walinzi wawili waliuwawa na wawili kujeruhiwa.
Washambuliaji hao, ambao hawakujulikana, piya waliwateka nyara mabaharia wane.
Jeshi la wanamaji la Nigeria nalo linashiriki kuwasaka washambuliaji hao.
Shambulio hilo limetokea siku tu baada ya serikali ya Nigeria kutangaza kuwa itatumia satalaiti kuzuwia magendo ya mafuta katika eneo hilo, ambayo huuzwa kwenye soko la kimataifa.

No comments:

Post a Comment