Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, August 2, 2012

Fina Mango arejea hewani baada ya ukimya wa miaka 4...!


"Baada ya miaka 4 Fina Mango arejea kwenye masikio yenu kupitia Magic FM na kipindi kipya cha Makutano kitakachokua charushwa kila Jumamosi kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 12jioni. Jumamosi hii ndio kipindi cha kwanza, katika mengi yatakayokuwamo ni pamoja na mjadala wa mafao ya uzeeni, habari zilizoandikwa na kua gumzo zaidi kwenye magazeti ya wiki, atazungumza na aliekua Waziri wa Mambo ya Ndani Ndugu Lawrence Masha kuhusu maisha, siasa na yajayo. Usikose kusikiliza."

No comments:

Post a Comment