Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, August 2, 2012

MWANAMUZIKI SERA AFARIKI DUNIA ...!


Mwanadada aliyekuwa akifahamika kwa jina la Sera Nampejja maarufu kama Sera ambaye alikuwa msanii wa kike anayekuja kwa kasi nchini Uganda amefariki dunia siku ya tarehe 31 Jully akiwa anatoka kwenye mazishi ya mdau mwingine wa muziki Mr. X huko masako. Sera ambaye alikuwaakisumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu alizimia akiwa anatoka kwenye mazishi ya mdau huyo ambapo njiani alianza kutapika damu na nyingine zikiwa zinamtoka puani na baadaye alikimbizwa kwenye hospitali inayoitwa Kitovu iliyo nchini humo ambapo baadae alifariki dunia. Sera alikuwa akitamba na ngoma
kama sunrise, contagious na No more na amefariki akiwa na umri wa miaka 22. 

No comments:

Post a Comment