Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, August 15, 2012

Haya Ndio Mavazi Yanayoshusha Heshima za Mastaa Wetu wa Kike Hapa Bongo...!

Nimekuwa nikishangazwa sana na dada zetu ambao ni mastaa hapa nchini na ni watu ambao wamekuwa wakipewa heshima ya juu kwa kupewa kipao mbele kwenye mambo mengi ikiwa ni pamoja na kusimama mbele ya umati wa watu kwa kuelimisha au kusherehesha kwa namna moja au nyingine.. Sasa kwa uvaaji huu je jamii inajifunza nini kutoka kwao?No comments:

Post a Comment