Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, August 14, 2012

HII NI KALI YA MWAKA "SINTAH NA AGNESS MASOGANGE WAPATANA NA VICHEKO JUU"...!



  HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA SINTAH KWENYE SITE YAKE NA NUKUU;
sipendi uchonganishi jamani?? huyu dada alishaniomba msamaha na mimi na yeye tunaongea vizuri,,kama mtu
anawashwa na yake kupitia funny blogs tafuten la kuandika
,,wale mliokuwa mnaniongelea kwa Agnes
  kaniambia yote nawaangalia tu, mimi simjui Agnes ila nikiona mtu kafanya makosa namsahihisha ndo mana alikuja kuniomba msamaha na sina kinyongo naye
 nimemsamehe sasa maneno mengine mnayatoa wapi? kama mtu ana picha zangu za ngono zitoeni jamani kwanini mnanitishia??haaaaa nimeshatoka huko kitambooo sana lolest,,labda mtengeneze na za kutengeneza tunazijua hivihivi mtasubiri sana tena sana ninajiamini 100%Agnes alinieleza mkanda mzima wa yaliyomtokea na nikaona wasichana wanadhalilishwa sana ktkana na pombe
  jamani yale maisha ya twendeni tukamnywe mbona yamepita? so msiendelezee maneno yenu ya ajabu mimi na Agnes tunaongea tena siku ile ile ndo maana nilifuta posts  na nimemsema sana nadhani ameanza kunisikiliza na akinisikiliza atafika mbali maana ni binti mzuri so mnaopenda watu wagombane poyeeeeeee,, mmeshushukaje??tafuteni mwingine kwangu ni fulllll stooooooop,, Agnes nakwambia hapa mbele ya watu huna marafiki ni wanafiki wao ndio wamenitumia video kwa mda wako uje nikuonyeshe waumbuke  na munch status zako zote walituma 

No comments:

Post a Comment