UKISOMA
barua ya Afande Dunga aliyomuandikia Waziri wa mambo ya ndani[isome
hapo chini pamoja na mambo mengine aliwashutumu askari wenzake kumua mfanyabiashara maarufu jijini Dar es salaam J.B na wenzake eneo la nane nane mkoani hapo miaka kadhaa iliyopita.
Pichani ni mwili wa J B ukivuja damu baada ya kupigwa risasi na Polisi
akidaiwa kuwa ni jambazi,picha hii niliipiga chumba cha kuhifadhia maiti
hospital ya mkoa wa Morogoro,picha hii na zamaremu wengine aliokuwa nao
JB ziko kwenye maktaba yangu ya picha.
KABLA
ya kufikwa na mauti Afande Donald Julius Mathew'Dunga'[33] alimpatia barua (Mwandishi wa habari Dustan Shekidele) aliyomuandiki waziri wa mambo ya ndani ya nchi
akimchongea 'Big Boss' wa jeshi la polisi I.G.P Said Mwema kwa
kutowawajibisha maskari 9 aliowalipua.
Hii hapa nakala ya barua hiyo
Chanzo: DUSTAN SHEKIDELE
No comments:
Post a Comment