Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, August 11, 2012

HIZI HAPA PICHA ZA PAPAA MUSOFE ALIPOFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JANA...!

Marijani Abubakar Msofe ‘Papaa Musofe’ (58) akiingia kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana, kwa ajili ya kusomewa mashitaka katika kesi ya mauaji inayomkabili.
 
 Papaa Musofe akiandikisha jina kwa maofisa wa Polisi mahakamani hapo
 
 Papaa Musofe akipandisha ngazi za mahakama ya Kisutu kwenda kusomewa shitaka la tuhuma za mauaji 
 
 Papaa Musofe akipanda gari ya polisi kurejea mahabusu baada ya kusomewa shitaka la mauaji kwenye mahakama ya Kisutu
 
Papaa Musofe wa pili kulia, akiwa amekaa kwenye gari ya polisi chini ya uangalizi mkali, tayari kwa safari ya kurudi mahabusu.
 
 
 
Chanzo: Habari Mseto Blog

No comments:

Post a Comment