Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, August 11, 2012

HAYA HAPA MAZOEZI MATATU YA KUZUIA MATITI YA MWANAMKE YASILALE...!

Ikiwa wewe umechelewa(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako yanaota) basi msaidie mdogo wako au binti yako anaekuwa hivi sasa, ili asije kujisikia vibaya pale wanaume watakapokuwa wakiponda/zungumzia matiti kwa kuyaita "malapa"...."flapy" n.k.

Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa
kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako yabaki/pumzike, kwamba hakuta kuwa na kuning'inia kama utakuwa umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.

Zoezi...1
Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada/mama mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.

Zoezi....2
Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyuma kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu jinsi unavyokua.

Zoezi...3
Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na hule inyanyue taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha mikono ilipokuwa (imenyooka huku na kule).

Source-mpekuzi

No comments:

Post a Comment