Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, August 13, 2012

JAFARI AFUNGUKA "LABDA MNIUE LAZIMA NIGOMBEE UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI 2015. "


Diwani wa Kata Ya Bomambuzi kwa Tiketi ya Chadema na Meya wa Manispaa ya Moshi Mh. Jafari Michael Ametangaza Kugombea Ubunge katika Jimbo la Moshi mjini Mwaka 20015, Jafari aliyasema hayo katika mkutano wa Hadhara Uliofanyika ata ya Pasua hapo jana. Jafari aliweza kujibu Tuhuma za CCM dhidi yake na Pia aliweza kuelezea Safari alizowahi kwenda za nje ambazo wanamtuhumu alikua akitumia fedha zahalmashauri na kuweka wazi kuhusu hilo.

Jafari alisema kuna mbibu chafu za kumchafua sababu tu kuna tetesi kuwa anataka ugobea ubunge wa jimbo la Moshi mwaka 2015 aliweka wazi kuwa dhamira hiyo anay na atapambana mpaka tone la mwisho la damu yange ndani na nje a chama mpaka apate fursa ya kuwawakilisha Wananchi wa moshi Bungeni.

Jafari alisema Yeye ni Mea wa mji wa Moshi kwa hiyo yeye ndo mangi wa Moshi kwa Muda wa miaka mitano na hiyo Haitabadilika mpaka miaka mitano iishe.

Pia aliweza zungumzia suala la mgomo wa Vyombo vya usafiri na kusema yeye Kama Meya alisikiliza madai ya Chama cha wenye vyombo vya usafiri Moshi AKIBOA na akawapa utaratibu wa Kufuata sababu suala a kupanda kwa Ushuru liliua katika Meza ya Waziri mkuu n ili Litenguliwe ni Lazima wakusanye Maoni na kumuandikia waziri mkuu ili suala hilo lirekebiswe.

"SIWEZI KUACHA KUWATETEA WANANCHI WA MOSHI NA SIWEZI KUACHA NIA YANGU YA KUWA MBUNGE WA JIMBO LA MOHI MWAKA 2015"  Alisema jafari.

No comments:

Post a Comment