Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, August 4, 2012

JAMBAZI AUWAWA VIBAYA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI.. TUNAOMBA RADHI KWA PICHA MTAKAZOZIONA...!


Picha ulizoziona ni za jambazi ambaye amepigwa risasi ya paja na askari wa doria leo muda ya saa 5 kasoro asubuhi  na kwa taarifa za mashuhuda waliokuwepo kwenye eneo la tukio wanasema majambazi hao walikuwa wawili, ila mmoja alifanikiwa kukimbia na mmoja alikamatwa na wananchi wenye hasira kali kwa kusaidiana na polisi wa doria, wananchi wenye hasira kali walimpiga na mawe na kumsababishia majeraha makubwa sana mwilimzima hususani maeneo ya kichwani. Nilifanikiwa kuongea na shuhuda wa tukio hilo na kunijuza kuwa majambazi hao walivamia maeneo ya ubungo na wakafanikiwa wakapora pikipiki (bodaboda) na wakakimbia, ila hawajawahi kupora kitu kingine chochote zaidi ya pikipiki (boda boda) na jambazi huyo amekamatiwa maeneo ya kigogo kama unaelekea tabata na pikipiki aliyoiiba yenye namba za usajili T 606 BWH aina ya FEKON..

No comments:

Post a Comment