Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, August 25, 2012

Karibuni Watengwa Tuwashe Mishumaa ya Upendo Kwa Heshima ya Vivian na Complex...!

 
Baada ya kupumzika kwa muda wa mwezi sasa "S.U.A Free-Stage Event" imerudi tena hii ni .Epison ya sita na ni maalumu kwa kumbukumbu ya Vivian na Complex. Na mahali ni palepale kijenge juu ilipo studio ya Watengwa. Graffiti, Freestyle na Cypher  na mchakato mzima utaanza saa tisa alasiri woote mnakaribishwa kuja kuona vipaji walivyojaliwa vijana wa Arusha. Kwa wale wenye vipaji vya kuchora wanasisitiziwa kuwahi mapema maana kinyang'anyiro hicho kitaanza saa tisa mpaka saa kumi, alafu ndio mambo mengine kama vile  Graffiti na Djin alafu Freestyle na Cypher mpaka saa kumi na moja jioni alafu ndio wote kwa pamoja tutawasha mishumaa kwaajili ya ...Tribute for Vivian na Complex
Karibu kijenge juu tuwasheni mishumaa kwaajili ya kuwaenzi Vivian na Complex onyesha upendo wako kwa kushiriki zoezi hili.


  Kwa upande wa Graffiti hii nimoja nkati ya picha zitakazo chorwa siku ta tarehe 26 August 2012 pale Watengwa record kijenge juu. No comments:

Post a Comment