Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, August 17, 2012

LUPITA NYONGO KUCHEZA MOVIE PAMOJA NA BRAD PITT NA CHIWETEL EJIOFOR
                                                            LUPITA NYONGO

Muigizaji anayechipukia kutoka nchini Kenya,Lupita Nyongo,amekuwa casted katika movie ya Steve McQueen’s 12 Years A Slave.Lupita ambae wengi wamepata mfahamu kupitia serie ya SHUGA atakuwa sambamba na waigizaji kama Chiwetel Ejiofor,Brad Pitt, Michael Fassbender, Ruth Negga, Adepero Oduye, Paul Dano, Benedict Cumberbatch, Scoot McNairy, Garret Dillahunt, Paul Giamatti and Sarah Paulson katika movie hii.Haijafahamika vizuri ila inasemekana Lupita atacheza kama mtumwa ambae atakuwa akihenyeka na ukatili wa Bosi wake ambae pia atakuwa akimtaka kimapenzi.Hii ni habari njema kwetu sisi watu wa East Africa,We wish you the Best LUPI.LUPIATA

No comments:

Post a Comment