Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, August 17, 2012

SINTAH: HUYU NAY NI NANI?ETI MUIMBAJI?HAPATIKANI GOOGLE AU NDIO WALE KIINGILIO BUKU UZINDUZI TANDALE


leo hii katika pita pita zangu, nimekutana na story hii iliyoandikwa kupitia sintah.com, ikionekana kuwa ni majibu kwa Ney wa mitego, baada ya kuongea kwenye Take one kuhusu single yake ya NASEMA NAO na kumtaja mwanadashosti Sintah kuwa anafanya chochote kile ilimradi arudi kwenye game...... na haya ndio majibu yaliyofumuka.....


Hivi wa wapi weweee,mbona husomeki weweee,tume google
 hupatikani wewe,shukurani kwa mdogo wako alietuletea picha yako ya beach, sijui nani sijui nay utaweza??
 jipange,namuonea huruma mama yako kuzaa kiumbe
 kilichoharibikiwa, nina jaribu ku google naona neyo wa Us sasa nisaidie nitupie kwa mnyamani au kiembe mbuzi niambieeee ili nikupate my brodaaaaa you have just tickled a private part of a tiger,,, you wanted promo now you gotta maza vitumbua
 NEY WA KUJITEGA MWENYEWE MAANA
 UNA CHASTE  MBU SIJUI UTAMTEGA NANI, KAMA UNA SHIDA NA MIMI DJ DJ DJ AND MY BRODAA CHOKA ANAJUA NINAPOEGESHA MILONJO YANGU  SASA KAMA UNATAKA KUIKATA KAMA ULIVYOWAMBIA WATU WAKO BBM(MAANA HU HUNA HADHI YA KUKAA KTK MY BBM LIST) MWAMBIE AKULETE MDOMO HUPONZA KICHWA NA UMEJIPONZA LOVES LEO NIMEWAFUNGULIA COMMENT MTU AKIGUSWA ATAJIJUA MAANA NIMECHOKA KUONEA WATU HURUMA KAMA NOMA NA IWE NOMA
 NEY NIMESHAMPA RUHUSA MLINZI AKURUHUSU UINGIE SWALI ANAKUJUA??? JIPANGE ULIPOCHOKOZA SIPO KABISA UNSTOPPABLE NOTHING BUT CONFIDENCE
 MSICHANA AMBAYE ANA TWO SIDES (COOPERATE FIGURE NA ACTRESS) OOH SORRY USIJE MCHANA NITAKUWA SERENA NINA APPOINTMENT NA WORLD BANK CREW CONCERNING MY LAUNCH 

SINA SHIDA NA  MTU ILA UKINIANZA HUWA NAMALIZA  SHIDA ZAKO
 cc to naxylady upo kwenye cue usitafute maarufu maana umaarufu hauji kwa njia za panya from Unstoppable
 MA International Relations & Diplomacy
 

No comments:

Post a Comment