Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, August 27, 2012

NGULI WA FILAMU CHINEDU IKEDIEZE A.KA. AKI APATA MTOTO WA KIKE...!

Aki akiwa amempakata mtoto wake.


 AKI

Nguli wa filamu nchini Nigeria Chinedu Ikedize a.k.a AKI amefanikiwa kupata mtoto wa kike kutoka kwa mkewe Nneoma Hope Nwajah aliyejifungua siku kadhaa za nyuma nchini Nigeria.
Aki na mkewe huyo walifunga ndoa November 26 mwaka 2011 iliyofanyika nchini Nigeria na kuhudhuliwa na Celebrities kibao kutoka sehemu mbalimbali wakiwemo P-Square. Aki kwa sasa anaitwa baba akiwa na umri wa miaka 34.

No comments:

Post a Comment