Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, August 11, 2012

PETER WA P SQUARE ANATARAJIA KUPATA MTOTO WA PILI...!

     Siku chache baada ya kufiwa na mama yao mzazi {Josephine Okoye} Member wa kundi lijulikanalo kama Psquare Peter Okoye ambaye ni mkubwa kuliko mwenzake Paul amefunguka na kusema kuwa hivi karibuni anatarajia kupata mtoto wa pili.
      Peter ambaye ni Baba wa mtoto mmoja aitwae Cameron Okoye aliye zaliwa September 23 mwaka 2009 na Lola Omotayo ambaye ni Girl friend wake kitambo amesema ana furaha sana kwa kutarajia kupata mtoto mwingine na anmshukuru mwenyezi mungu kwa kumpa zawadi ya maisha. Na hiyo inaweza ikawa nifaraja sana kwa familia ya Okoye.
     Na haya ndio maneno aliyopost Peter katika mtandao wa kijamii wa Twitter @PeterPsquare; ''So happy we are expecting another child! Thanx God for the gift of life @PeterPsquare tweeted.......!!!


NB; P Square ni kundi linaloundwa na vijana wawili mapacha, Peter and Paul ambao ni wazawa wa Nigeria na kwa sasa wako chini ya mtu mzima AKON katika lebo ya
CONVICT MUSIC. vile vile wana ndege aina ya jet waliyoinunua kwa ajili ya safari zao binafsi za kutoka Nigeria kwenda Marekani.And now wanatamba na wimbo wao unaoitwa beautiful Onyenye walioshirikisha Rick Ross kutoka Maybach Music

No comments:

Post a Comment