Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, August 17, 2012

Trafiki Asababisha Ajali Mbaya Sana Jijini Arusha...!

 
Huyu nfio Dereva wa pikipiki aliye sababishiwa ajali na trafiki.


 
Dereva wa pikipiki akiwa amekaa chini muda mfupi baada ya kupata ajali.

Kituko cha mwaka  kimetokea  leo mchana muda wa saa saba  huko Arusha  mjini, baada ya Trafiki mmoja (hayupo pichani) kumkamata Dereva wa Bodaboda (pichani aliyeumia) na kumpa maelekezo ya kupeleka Pikipiki hiyo kituo cha polisi! cha ajabu wakiwa njiani Dereva Bodaboda  alibadili nia na kutaka kuelekea sehemu tofauti na kituoni! hali hii ilimfanya Polisi kushtukia ujanja huo wa dereva huyo wa bodaboda na kuanza kushika usukani na kulazimisha pikipiki ipelekwe kituo cha Polisi, kwa hatua hii Pikipiki hiyo iliendeshwa na watu wawili hadi kituo cha Polisi ilipotokea  ajali hii.

No comments:

Post a Comment