Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, August 3, 2012

Wasanii wa Arusha Jambo Squad waweka wazi msimamo wao...!

Jambo Squad wanaotamba na nyimbo yao ya Disco Malapa wadai kudharauliwa na meneja eErick Lupiana so ni BEEF BEEF SASA-Nigga C aandika katika page yake ya  facebook  "Ngoja niwaondoe utata wakazi wa Arusha au vp! kikosi hatari cha Jambo Squad ambacho unakiona hapo juu kwenye picha hatutokuwepo wala hatutofanya show siku ya tarehe 19 sheikh Amri Abeid kwenye tamasha la Mambo Jambo radio kutokana na anataka kutulipa hela ambayo inafaa kununulia nyanya Kilombero,,japo tumekataa lakini kuna baadhi ya watangazaji wao wanatutangaza bado wanajidai makauzu,,,sasa maraiya wetu msipotuona cku hiyo msilalame kwani sisi hatotoonekana kabisa[Music 4 lyf siyo kuuza sura]"

No comments:

Post a Comment