Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, August 3, 2012

BEN POL: SASA NIMEKUWA YEBO YEBO...!

Msanii wa kizazi kipya kwenye upande wa R&B na mwenye tuzo ya R&B kwa mwaka 2011-2012 Ben Pol, leo ameamua kusema inatosha kwa sasa kufanya chorus. Ben Pol ameandika hivyo katika ukurasa wake wa Twitter na hivi ndivyo alivyoandika.
"Katika kila simu 10 ninazopigiwa, 8 ni za kuombwa kupiga chorus, 1 ya familia, na 1 mengineyo, watu hawaoni kama nishakua YeboYebo, imetosha" 
https://twitter.com/IamBenPol

No comments:

Post a Comment