Linex
Mchana wa leo Msanii wa bongo fleva Linex amereport kuwa kuhusu ajali walioipata wakielekea kigoma leo .Linex amesema hawakuwa kwenye mwendo wa kasi kwani show zao ni weekend so mwando wao ulikuwa mdogo sana na ndio maana haikuwa ajali kubwa .Dancer mmoja wa Suma lee ameumia Mguu na Gari ya Suma Lee ndio imeumia sana upande wa mbele ,taa zimevunjika. Ajali imesababishwa na basi la abiria lililokuwa katikati ya barabara kwenye kona ,ili kulikwepa lazima Suma atoke nje ya barabara na kurudi hapo ndipo gari ikamshinda na kugonga mti .Linex ,Baba levo na Suma lee wana show tatu weekend hii Ijumaa ni Kigoma , Jumamosi ni Kasulu na Jumapili ni Bujumbura.
Suma Lee
No comments:
Post a Comment