Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, September 26, 2012

FURAHIA YALIYOJIRI KATIKA SHOW YA EVANS BUKUKU’S COMEDY CLUB PALE NYUMBANI LOUNGE....!

Huyu ndie mchekeshaji mahiri Evans Bukuku akiwavunja mbavu watu wote  waliohudhuria onyesho lake lililofanyika Nyumbani Lounge.

Mmoja wa wachekeshaji wa Evans Bukuku Comed Club ‘Ray’ akiwaburudisha wadau na ‘The Language of Laughter’.

Huyu ni Enika msanii wa Evans Bukuku Comed Club akitoa burudani ya muziki kwa watu waliohudhuria onyesho hilo.

Onyesho hilo lilikuwa na watu wa aina tofauti tofauti lakini kila aliyefika ukumbini hapo alikuwa nafuraha ya pekee.

 Baadhi ya watu waliokuwepo ukumbini hapo wakivunjika mbavu kwa vichekesho.

No comments:

Post a Comment