Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, September 27, 2012

HIKI HAPA KIINGILIO CHA KUMUONA RICK ROSS KWENYE FIESTA 2012...1

 

 Serengeti ambao ndio waandaji wa Fiesta 2012  wameamua kumleta Rick Ross kuja kuwapa burudani wadau wote watakaoshiriki katika viwanja vya leaders na kiingilio kitakuwa ni shilingi elfu ishiri (20,000/=) kama mtu atakata tiketi kabla, na kwa wale watakaokata tiketi getini watalipa shilingi elfu ishirini na tano (25,000/=)

No comments:

Post a Comment