Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, September 13, 2012

KAMATI YA UCHUNGUZI WA KIFO CHA DAUDI MWANDOSI WAIBIWA VIFAA VYA KAZI...!

KAMATI ya UCHUNGUZI wa KIFO CHA  DAUDI MWANDOSI  waibiwa vifaa vya kutendea kazi IRINGA.
Tukio hilo limetokea katika hoteli ya RUAHA LODGE wakati wanakamati hao walipokwenda kula chakula ndipo mtu asiye julikana aliingia chumbani mwao kwa kutumia master key na kuweza kuondoka na I-PAD pamoja na fedha kiasi cha tsh.laki saba. 

Kwa habari zaidi kuhusu tukio hilo endelea kutembelea www.kingjofa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment