Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, September 18, 2012

KAULI YA ORIJINO KOMEDI KUHUSU WENGU...!

Wengi wamekuwa wakijiuliza hasa juu ya mchekeshaji anaye fanya kazi hiyo ndani ya kundi la Orijino Komedi katikakipindi kinachorushwa na Television ya TBC, leo wakiongea na moja ya kituo cha Habari nchini Mkurugenzi wa kundi hilo Wakuvanga ameweza sema haya kama ilivyo nukuliwa...

“ukweli niwe muwazi, kwa afya yake na tatizo alilonalo tunazungumzia tatizo la mshipa wa fahamu, tunazungumzia kitu kinaitwa ubongo, hayo matatizo yanachukua muda mrefu sana ukizungumza ukiwaambia watanzania kwamba atarudi hivi karibuni unakua unajidanganya wewe na watanzania wenzio, ndio maana siku zote tunasema ukiwa na nafasi ya kumuombea mtu unaempenda muombee, mi siwezi kuahidi kwamba labda atarudi mwezi ujao au mwaka ujao”

Kuhusu kutafuta mtu wa kuziba nafasi ya Vengu, Wakuvanga amesema “tutaendelea kuwa na jina la Vengu maisha yote ya Komedi, kwetu sisi iko tofauti kidogo sisi tumeapa.. ndivyo tunavyoishi, tuko saba mpaka tunakufa.. kuongezeka kwa mtu labda sisi tukae pembeni tuwatafute watu wengine lakini tutaendelea kuwa saba, hata maeneo tunayoishi na jinsi tunavyoishi mara nyingi tunaishi tukoNo comments:

Post a Comment