David Mwangosi enzi za Uhai wake
Waandishi wa habari wakimsindikiza mwenzao kuelekea kwenye nyumba yake ya milele
Mwili ukishishwa Kaburini
Jeneza la Mwandosi likiwa limeshushwa kaburini
Jeneza likiwa ndani ya kaburi tayari kwa Mazishi
Haikuwa rahisi kwa mjane na Watoto kusema kwa heri
Viongozi wa siasa
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la Maua
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za Mwisho katiaka Kaburi
Rais wa UTPC akiweka shada la Maua
Tulimpenda sana ila Mungu alimpenda zaidi
No comments:
Post a Comment