Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, September 30, 2012

SHUHUDIA SHOW ALIYOIFANYA DIAMOND KWA AJILI YA KUCHANGIA WANAFUNZI WALEMAVU...!


Hawa ni baadhi ya Wanafunzi waliokuwepo eneo la tukio.....

HII NI SHOW YA JANGWANI SEC. KWA AJILI YA KUCHANGIA WANAFUNZI WALEMAVU..

 show katika shule ya sekondari Jangwani, kwenye tamasha maarumu kwa ajili ya kuelimisha wanafunzi juu ya athari za malaria, kukusanya pesa kwa ajili ya kusaidia wanafunzi wenye ulemavu na pia kukuza vipaji vya wanafunzi. Tamasha hili liliudhuriwa na wanafunzi wa shule mbalimbali za Jijini Dar.
 
picha, habari na Diamong website

No comments:

Post a Comment