Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, September 24, 2012

TAZAMA PICHA ZA FIESTA ILIVYOKUWA IRINGA...! USIKU HUU


 
Haya sasa MC wa Show Adam Mchomvu aka Baba Johnniii! akifanya kazi yake na kukubalika na mashabiki hapo chini.
 


 
Wadau wa Serengeti fiesta Iringa na Dar es Salaam nao wapo hapa Uwanja wa Samora Iringa kupata burudani 
 
Ndani ya uwanja wa Samora Mjini Iringa ndo kwaaaanza kumekucha katika tamasha kubwa na la aina yake ya SERENGETI FIESTA 2012 ambapo linajiachia usiku huu hadi Bhaaaaaass!!
Wameanza kupanda wasanii chipukizi wa mjini Iringa na vitongoji vyake. 
 
 Watu ndo nao kama hivi nab ado wanamiminika uwanjani.
 

No comments:

Post a Comment