Sababu
kubwa iliyomfanya Ella amlize Necole ambae ni jaji kwenye shindano la X
Factor analoshiriki Ella ni ubunifu alioutumia pamoja na aina ya wimbo
aliyoichagua kwenye hiyo X Factor a.k.a bongo star search ya U.K! video
iko hapo chini… itazame mwenyewe.
No comments:
Post a Comment