Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, September 21, 2012

VIWANJA VINAUZWA...!

MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA ARDHI PLAN LTD KWA KUSHIRIKIANA NA STEPHENE ANGELO MSIMBILA WANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE NA UMMA KWA UJUMLA KUWA WAMEPIMA VIWANJA KATIKA ENEO LA KILUVYA MAKULUNGE NJIA YA KILUVYA KWA SUMAYE VIPO MKABALA NA VIWANJA VYA TANZANIA BUILDING AGENCY (TBA) JIRANI NA ENEO LA HOSPITALI YA MUHIMBILI. MIUNDOMBINU YA AWALI KAMA BARABARA TAYARI IPO

VIWANJA VILIVYOPO NI VYA MATUMIZI TOFAUTI TOFAUTI IKIWA NI PAMOJA NA MAKAZI ,MAKAZI NA BIASHARA NA TAASISI


VIWANJA HIVYO VINAUJAZO KAMA IFUATAVYO, UJAZO WA JUU, (HIGH DENSITY) ,UJAZO WA KATI (MEDIUM DENSITY) NA UJAZO WA CHINI (LOW DENSITY)

BEI YA VIWANJA NI KAMA IFUATAVYO MAKAZI PEKEE ELFU NANE MIA TANO (8500) TSH, MAKAZI NA BIASHARA ELFU TISA MIA TANO (9500) NA TAASISI NI ELFU KUMI NA TANO (15,000) BEI HIZI NI KWA MITA MOJA YA MRABA ( 1 SQM)

MAUZO YATAFANYIKA OFISI YA ARDHI PLAN LTD ILIYOPO MTAA WA SHAURI MOYO JENGO LA MARIAM TOWERS GHOROFA YA NNE KUANZIA SAA 3:00 ASUBUHI MPAKA SAA 10:00 JIONI

UMILIKISHAJI WA VIWANJA HIVI UTAFANYWA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE

KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI KWA 0712-699762,0757-519794 AU 0785-670270

No comments:

Post a Comment