Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, October 23, 2012

ANGALIA PICHA NAMNA WEMA SEPETU ALIVYOFANYA KUFURU YA SHOPPING YA NGUO ZENYE THAMANI YA 4.3 MILION.!Mrembo huyo alinaswa hivi karibuni akifanya manunuzi ya nguo tu, zenye thamani ya Sh. milioni 4.3 katika duka la Amina Designer lililopo ndani ya Jengo la Quality Centre jijini Dar.

“Ni utamaduni wa kawaida kwangu kufanya shopping mara kwa mara. Sioni uchungu wa kutoa fedha, labda ni kwa sababu natumia kadi kulipia, ningekuwa natoa kwenye pochi na kuhesabu kumpa muuzaji, nisingeweza kufanya hivyo, fedha nyingi kama ile ukiishika mkononi na kulipa kununua nguo roho inauma,” alisema Wema

No comments:

Post a Comment