Kimbunga Sandy ni
kimbunga ambacho Marekani haijawahi kukishuhudia kwa miaka tisa
iliyopita ambapo kwa mujibu wa Sky News ni watu 16 wamepoteza maisha
mpaka sasa na nyumba zaidi ya 50 zimewaka moto huku mamilioni ya
wananchi wakikaa bila umeme majumbani mwao.
Kutokana na hiki kimbunga pia safari za ndege zaidi ya eflu
zimeahirishwa ambapo kwa upande mwingine nyumba laki sita na elfu sabini
kwenye jiji la New York zimeachwa bila umeme.
Chanzo: www.thisisdiamond.com
No comments:
Post a Comment