Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, October 2, 2012

BASI LA DAR EXPRESS LATEKETEA KWA MOTO...!


Gari la abiria lijulikanalo kama Dar Express likiwa linawaka moto maeneo ya Segera

 
 Basi la Da Express likiteketea kwa moto.  
 Habari zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema watu 65 wamenusurika kufa eneo la Segera Mkoani Tanga baada ya basi la Dar Express lililokuwa likitokea Arusha kwenda Dar Es Salaam kuteketezwa na Moto


No comments:

Post a Comment