Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, October 3, 2012

HII HAPA NYIMBO INAYOTESA MITAA YA ARUSHA KWA SASA...! HII NDIO NYIMBO INAYO TESA MITAA YA ARUSHA KWA SASA,
NYIMBO AMBAYO KILA DJ WA ARUSHA ANAPOANZA SHOW YAKE KWENYE RADIO ANAANZA NAYO.....

KWAMARA NYINGINE TENA MSANII ANAYEMILIKIWA NA KAMPUNI YA
MACHALII ENT. INAMTAMBULISHA KAPUKU DIGITAL AKA MITISHAMBA BAADA YA KUMTOKA KWENYE HATARI YA MAISHA YENYE DHAMBI NYINGI MSANII HUYU NA SASA AMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA MACHALII TAYARI KWA KUTAYARISHA MIXTAPE YAKE ITAKAYO ZINDULIWA MWAKA 2015 NDANI YA ARUSHA ....

KAPUKU AMEKUABALIKA KWA KASI SANA NDANI YA MITAA YA ARUSHA HASA KWA
VIJANA....HUYU JAMAA NI MKALI WA MISTARI SANA NA HIII NI FLEVA NDOGO KUTOKA KWENYE MIXTAPE YAKE...JINA LA MIXTAPE LITATOKA MWAKA 2014 MWISHONI....
 
KWA YEYOTE ATAKAYE HITAJI KUWASILIANA NAE KWA AJILI YA INTERVIEWS AU KUTAKA KUJUA CHOCHOTE KUTOKA KWA KAPUKU ANAWEZA KUPITIA
CEO WA GENGE LA MACHALII ARUSHA
0655288796.

No comments:

Post a Comment