Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, October 19, 2012

HUYU NDIO MSHINDI WETU WA VOCHA KUTOKA KILIMANJARO OFFICIAL BLOG....!

 
Samora Julius

Zoezi linaloendesha na www.kingjofa.blogspot.com (Kilimanjaro Official Blog) kwa ajili ya kuwashukuru kwa kuendelea kuitembelea blog hii kwa kuweka namba za vocha kwenye blog hii na kwa yeyote atakayekua wa kwanza kuziweka kwenye simu ndio atakua amejishindia vocha hiyo. 

Leo asubui nimepokea simu kutoka kwa Samora Julius ambaye ni mkazi wa Dar es salaam na kunipa taarifa kuwa amefanikiwa kupata vocha hiyo ya vodacom na kunielezea furaha yake maana hakuwa na uhakika kama angeweza kufanikiwa kuipata vocha hiyo.

Kwa sasa zoezi hili la kuweka vocha kwenye blog hii linaendelea. na tutaendelea kuweka vocha za mitandao tofauti tofauti ili kuhakikisha kuwa zoezi hili linafanyika bila kupendelea mtandao wowote wa simu.

Endelea kupata habari motomoto na za uhakika kupitia mtandao huu wa www.kingjofa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment