Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, October 11, 2012

Kilimanjaro Motor Sport Club Inline Inakuletea "Nyerere Kili Sprint"
- Kutakuwa na mashindano ya magari ndani ya uwanja wa maimoria.

- Siku ya jumapili tarehe 14/10/2012 kuanzia sa 4 asubuhi mpaka jioni.

- Kutakuwa na magari halisi ya mashindano.

- Magari ya kawaida pia yataruhusiwa kushindana.

- Utapata nafasi ya kupakiwa kwenye gari ya mashindano na kuzunguka       nayo kwa kasi ndani ya uwanja kwa shilingi elfu 20 tu

- Kutakuwa na burudani ya music kutoka kwa DJ Mwindi, Vinywaji vya kila aina toka Glacier bar.

- Nyama choma na burudani nyingine nyingi.

Njoo na na familia yako bila kukosa.

Kiingilio:
Watoto wote ni Bure
Wakubwa ni 1000/=   (Elfu moja tu)

-Usikose

Kwa maelezo zaidi:-
0753 335 899, 0655 335 899

No comments:

Post a Comment