Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, October 20, 2012

KUKOSEKANA KWA MSHINDI WA RAIS BORA AFRIKA WA TUZO YA MWAKA HUU YA MO IBRAHIM KUNATUPA PICHA GANI?Kiundani Tuzo hizi zinaitwa ‘Mo Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership’ ambzo hutolewa
na Taasisi ya ‘Mo Ibrahim Foundation’ kwa Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika ambao wamefanikisha utekelezaji katika Nyanja ya Ulinzi, Afya, Elimu na Maendeleo ya Uchumi katika nchi zao na ambao wameachia madaraka kwa njia ya kidemokrasia.

Sasa ndugu zangu ya kwanza mwaka 2007 ilikwenda kwa aliyekuwa rais wa Msumbiji Joaquim Chissano kwa kuiongoza nchi hiyo kutoka katika mifarakano na kuwa ya Kidemokrasia.

2008: Tuzo hiyo alipewa Rais Festus Mogae wa Botswana kwa uongozi wake kuwezesha taifa hilo kusimama dhidi ya vita ya maambukizi ya Ukimwi ambayo yalikuwa yakitishia ustawi wa taifa hilo.

2009 na 2010: – Alikosekana Mshindi.

2011: Tuzo hiyo ilikwenda kwa kiongozi wa Pedro Pires wa Cape Verde.

2012: Tena amekosekana Mshindi.

No comments:

Post a Comment