Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, May 17, 2014

Hii Hapa Official Video Ya Paradize - Siyawezi

Samtimber akishoot moja ya kipande cha video ya Paradize

Unaweza ku'download na kuangalia video ya  msanii anayefahamika kwa jina la Paradize, ni msanii kutoka mkoa wa Mara video imefanywa na kampuni ya Samtimber na director ni Samtimber. Video inaitwa Siyawezi.kwa mtu anayetaka video hii anaweza kuchek kwenye namba hii hapa +255 71613 1666.

No comments:

Post a Comment