Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, October 28, 2012

MADEE AFUNGUKA NA KUSEMA NI HABARI ZA UONGO...!

Baada ya kuzuka story mbili tatu katika mitandano mbalimbali kuanzia blog mpaka website na kusema kwamba mtu mzima" Madee alikuwa kwenye mzozo na mmoja wa wasanii wa kundi hilo  lakini waliweza kupatana ingawa jamaa bado anaonekana kutopenda kile kilichotokea lakini bado kuna vitu vingine vya ndani zaidi vilivyosabisha hadi jamaa kuamua kujiweka pembeni na kudaiwa kujitoa katika kundi hilo.Baada ya kuandikwa hivyo na kusemekana kwamba Madee amejitoa TIPTOP kusema kweli sio kitu kizuri kama hiki kuandika story ya uongo lakini mimi nikaamua ngoja nimpigie simu ili aniambie sababu za kujitoa TIPTOP. Madee alisema kwamba hii story sio za kweli "kwani kuna baadhi ya blog zinapenda kuandika habari za uongo ili wajipatie umaarufu katika blog zao mimi naomba waache hiyo tabiaa"  alisema Madee

Chanzo: www.djfetty.blogspot.com

Picha ya Track hiyo.
Katika ufaninisi wa kukuza mziki wa bongo, Mwanamziki Diamond Platnumz amekuwa akijitahidi siku hadi siku kufanya uboreshaji wa kazi yake ya kukuburudisha wewe shabiki wake.
Hii ndio kazi yake ya Nataka Kulewa ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni.
"Usiniulize kwanini sababu utazingua....ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa wewe kunywa mimi ntanunua"

Katika maandalizi ya kutengeneza cover hiyo...
- See more at: http://www.wegambanews.blogspot.com/2012/10/track-picture-diamond-platnumz-nataka.html#.dpuf

No comments:

Post a Comment