Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, October 28, 2012

HICHI NDICHO ALICHO KIANDIKA MSANII WA HIP POP "ROMA MKATOLIKI" BAADA YA SHOW ALIYOIFANYA DODOMA...!

PAZIA LINAFICHA MENGI SANA!! WATU WASIOFAHAMU MUZIKI NDO WANAPEWA VITENGO MUHIMU KATIKA HII SANAA YETU...
FINALLY THEY DESTROY THE WHOLE SYSTEM!! INAUMAJE YAANI..

.LAITI UKWELI UNGEPEWA NAFASI BASI WATU WENGI SANA WANGEAIBIKA DUNIANI HUMU!!! POLE DJ CHOKA KWA KILICHOKUKUTA DODOMA JANA KWENYE SHOW YA INTERCOLLEGE ROYAL VILLAGE PALE!!

SAMAHANI PIA

WANA DODOMA KWA MIMI KUPERFORM CHINI YA KIWANGO (NILILIONA HILO). NYUMA YA PAZIA KUNA MENGI SANA MSIYOYAJUA (BACK STAGE).
DAKIKA CHACHE WAKATI MR BLU ANAMALIZIA KUPERFORM THEN NIENDE MIMI KUMALIZA SHOW. HUKU NYUMA YA JUKWAA KULITOKEA ZENGWE, KWAMBA DJ CHOKA AMBAYE SIKU ZOTE AMEKUWA NDIYE DJ WANGU COZ A KNW WAT HE GAT!! WALIMKATALIA ASIPANDE NA MIMI NA BADALA YAKE NIPANDE MWENYEWE NA DJ WAO, KWA SABABU AMBAZO HAWAKUZITOA(PENGINE NI SABABU BINAFSI) NA MKATABA HAUKUSEMA HIVO!!

SIKUKUBALI HILI NA NDIPO HAPO WALIPO NIVURUGA AKILI, TENA WAKASEMA KAMA HUTAKI ACHA KUFANYA SHOW, KIUKWELI NILIACHA NA KUANZA KUSEPA NA KUELEKEA HOTEL(KAMA NI MBWAI MBWAI watanga twasemaga)

KWA BUSARA ZA GODZILLA AKASHAURI NISISEPE NIKUBALI KUFANYA!! MIMI SIKUKUBALI KUFANYA BILA CHOKA!! SAWA NAWEZA FANYA SHOW NA DJ YEYOTE NA HUWA NAFANYAGA HIVO... BUT KWA HILI NILISHAWAMBIA NAJA NA CHOKA NA WAKAKUBALI NA KUMUWEKA KWENYE BAJETI YAO!!

KWANINI WAKATAE MWISHONI!!!??

HATA D.N.A WALIMFANYIA HIVO NASIKIA NA WAKAMWAMBIA APANDE BILA DJ WAKE. NA YEYE ALIKUBALI!! (HALIKUNIPENDEZA HILI KWAKWELI)

THANX GOD NILIKAZA HADI WAKASANDA NA NIKAPANDA NA CHOKA(NDIYO MAANA TULICHELEWA KUPANDA HADI WENGINE MKAANZA KUSEPA SOORRY DODOMA).

LAKINI SIKUWA KWENYE MOOD POA KAMA NILIYOKUJA NAYO WALIKUWA WAMESHANIKATA, SO NIKAPERFORM KIBWEGE SANA.

.LAKINI NILIFANYA BUSARA KULIKO NINGESEMA NISIFANYE KABISA...MAANA HAMJUI YANAYOTOKEA NYUMA YA PAZIA!!!

TUNAKUMBANA NA MITIHANI MINGI SANA LAKINI TUNAIPIGA VITA...ILI TUMAINTAIN NAFASI TULIYOPO.

SIJUI KWANINI NAPATA VIKWAZO KTK SHOW ZANGU ZA ROUND HII!!

MUNGU TUONGEZE IMANI NA NGUVU NA HEKIMA NA BUSARA KATIKA KAZI ZA MIKONO YETU!!!

MTWARA KESHO NIPO NA NYINYI HAPO..TUONE ITAKUWAJE!!
ROMA 2030

Picha ya Track hiyo.
Katika ufaninisi wa kukuza mziki wa bongo, Mwanamziki Diamond Platnumz amekuwa akijitahidi siku hadi siku kufanya uboreshaji wa kazi yake ya kukuburudisha wewe shabiki wake.
Hii ndio kazi yake ya Nataka Kulewa ambayo anatarajia kuiachia hivi karibuni.
"Usiniulize kwanini sababu utazingua....ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa wewe kunywa mimi ntanunua"

Katika maandalizi ya kutengeneza cover hiyo...
- See more at: http://www.wegambanews.blogspot.com/2012/10/track-picture-diamond-platnumz-nataka.html#.dpuf

No comments:

Post a Comment