Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, October 8, 2012

MWENYEKITI KAMATI YA UCHAGUZI TAIFA WA FRAT NDOLANGA AKIONDOLEWA BAADA YA UCHAGUZI KUVUNJKA‏
 Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Chama cha Waamuzi(FRAT)taifa Muhidini Ndolanga akiondoka katika hotel ya Dearmama baada ya kuvunjika kwa uchaguzi wa viongozi wa chama hicho taifa kutokana na kamati ya uchaguzi ya TFF kuondoka majina ya baadhi ya wagombea hatua iliyofanya wajumbe kugomea kufanya uchaguzi,Picha na Masoud Masasi.
 


Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Chama cha Waamuzi(FRAT)taifa Muhidini Ndolanga akibadilisha mawazo na mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu mkoani Dodoma(DOREFA)Nassoro Kipenzi baada ya kuvunjika kwa uchaguzi wa viongozi wa chama hicho taifa kutokana na kamati ya uchaguzi ya TFF kuondoka majina ya baadhi ya wagombea hatua iliyofanya wajumbe kugomea kufanya uchaguzi, Picha na Masoud Masasi.
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Waamuzi nchini(FRAT)Omary Abdulkadir akilalamikia kitendo cha kamati ya uchaguzi ya TFF kuondoa jina lake kwa kudaiwa kuwa fomu yake ilisainiwa na mtu mwingine badala yake.

No comments:

Post a Comment