Wanafunzi
5839 wa Mkoa wa Iringa hii leo wanatarajiwa kufanya mitihani ya
kuhitimu kidato cha nne huku katika idadi hiyo watahiniwa wa shule ni
3644 na wakujitegemea ni 2195.
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wakiwa katika mahafali |
Mtihani
wa kuhitimu kidato cha nne unafanyika huku idadi ya wanafunzi
walioandikishwa kufanya mitihani hiyo Nchi nzima 481,414 wavulana
293202 54.67 wasichana 218212 45.33 idadi hiyo ikiwa ni ongezeko la
watahiniwa 31,090 sawa na asilimia 6.9 ikilinganishwa na watahiniwa
445,324 walioandikishwa kufanya mtihani huo mwaka 2011
BLOG HII INAWATAKIA WAHITIMU WOTE KILA LA HERI KATIKA MITIHANI YAO.
No comments:
Post a Comment