Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, October 22, 2012

SHUHUDIA PICHA ZA LULU WAKATI AKITOKA MAHAKAMANI LEO...!


Elizabeth Michael maarufu kaka Lulu  (Katikati) akielekea kupanda katika basi la magereza kwenye viwanja vya Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, baada ya kesi inayomkabili ya kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake, hayati Steven Kanumba.


Lulu akiwapungia watu walio hudhuria katika Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu wakati akielekea kupanda gari tayari kwa safari ya kurudi Segerea.

No comments:

Post a Comment