Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, October 15, 2012

TIGO MAMA AFRICA CIRCUS WAMUENZI BABA WA TAIFA...!

 Mmoja wa wananchama kutoka vikundi vya vijana vya UN Clubs akiongea machache wakati show maalum ya Tigo Mama Africa Circus ya kumuenzi Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere katika ukumbi wa New World Cinema Mancom Centre uliopo Mwenge jijini Dar es Salaam.
Ngoma za Asili, Sarakasi na Michezo mbalimbali ya kufurahisha katika show maalum ya kumuenzi Mwl. Julius Kambarage Nyerere.Ballete dancing.
Pichani Juu na Chini ni Watazamaji wa Tigo Mama  Africa Circus wakivunja mbavu wakati wa show maalum ya kumbukumbu ya kumuenzi baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
 
Ukitaka kuvunja mbavu kwa Staili hii hudhuria show za Tigo Mama Africa Circus  Kila Ijumaa Mchana, Ijumaa  Usiku, Jumapili Usiku na kupata Offer maalum ya Nunua Tiketi Moja upate nyingine ya Bure.
Wazazi na Familia zao zikishuhudia Live show za Tigo Circus Mama Africa.
Steve R & B wa Inafrika Band akitoa burudani kwa watazamaji.
Msanii Bongo Mtshali kutoka Afrika Kusini akiimbia wimbo wa msanii Shakira uliotamba kwenye michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika nchini Afrika Kusini.
‘Waka Waka Eeeehh……It’s time from Africa…
Tunawashukuru kwa kuja…Happy Nyerere Day Tanzana.

No comments:

Post a Comment