Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, October 5, 2012

"WAHITIMU 481,141 WAMEANDKISHWA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA HUU...!"

Jumla ya watahiniwa 481,414 wameandikishwa kufanya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2012 utaotarajiwa kufanyika kuanzia Oktoba 8 hadi 25 mwezi huu.

Kati ya Watahiniwa hao Wavulana na 263,202 sawa na asilimia 54.67 na Wasichana 218,212 sawa na asilimia 45.33.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mh. Philipo Mulugo amesema idadi hiyo ya watahiniwa wote walioandikishwa mwa 2012 ni ongezeko la watahiniwa 31,090 sawa na asilimia 6.90 ikilinganishwa na watahiniwa 450,324 walioandikishwa kufanya mtihani huo mwaka 2011.

No comments:

Post a Comment