Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, November 11, 2012

HAPPY BIRTHDAY LINAH RIZIKI...!

 
Linah Riziki
 
Katika kufurahia siku yake ya kuzaliwa Linah Riziki hiki ndicho alichokiandika kwenye wall yake ya facebook "Namshukuru mungu kwa kunifikisha siku ya leo tarehe 11 November ndio siku ya kuzaliwa kwangu hakika Mungu ni mwema siku zote. Pili naishukuru sana familia  yangu ya Mr. & Mrs. Riziki Msalale kwa kunilea mpaka hapa nilipofikia, bila kuwasahau marafiki zangu wote ambao wamekuwa wakinishauri katika maisha yangu, Pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha wale wote niliowakosea au kuwakwaza kwa namna yoyote ile na tufungue ukurasa mpya wa maisha ya upendo.  HAKUNA MWANADAMU ALIYE MKAMILIFU HAPA DUNIANI. Nawapenda sana ndugu, jamaa na marafiki zangu wooote......!!!!!!"

Uongozi wa mtandao huu wa www.kingjofa.blogspot.com unakutakia maisha marefu na yenye furaha tele Linah Riziki na wale wengine wote ambao leo  wanasherekea siku yao ya kuzaliwa. 

 

No comments:

Post a Comment