Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, November 10, 2012

PICHA ZA MATUKIO YA KUPATIKANA KWA MSHINDI WA EPIC BONGO STAR SEARCH...!


Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS),Walter Chilambo (Dar) akikabidhiwa sanduku lake lenye kitita cha shilingi milioni 50


Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS),Walter Chilambo (Dar) akiwashukuru wapenzi na msahabiki wake waliompigia kura na hatimaye kuibuka mshindi wa shindano hilo.



Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Productions Limited, na jaji mkuu wa Shindano la Epiq Bongo Star Search 2012 (EBSS), akiwa amemkumbatia mshindi wa shindano hilo Walter Chilambo ndani ya ukumbi wa Diamond,Chilamba ameibuka na kitita cha shilingi Milioni 50

Barnaba akiimba na mmoja wa washiriki

NshomaNg'hangasamala akiimba




Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Linah na Amin wakiimbwa kwa pamoja wimbo mpya uitwa Mtima Wangu





















Mwasiti akicheza na Wababa

MWASITI




WALTER CHILAMBO ndiye mshindi wa Shindano la Epic Bongo Star Search (EBSS) 2012. Kufuatia matokeo hayo Kalambo amejinyakulia kitita cha Shilingi Milioni 50 za Kitanzania kutoka kwa wadhamini wakuu wa shindano hilo kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel.


Chilambo ametwaa ubingwa huo baada ya kumwangusha mwana dada kutoka Zanzibar ambaye alikuwa ni mshindani wake wa karibu katika kinyang’anyoro hicho Salma Yusufu.

Salma Yusuphu






MC’s wa Show hiyo alikuwa kijana mtanashati Caesar Daniel na mwana dada mrembo Vanessa Mdee ndio wanasongesha show nzima.
 

Huyu ni Salama Jabir na hapa ni katiak yale ya Look ndani ya fainali za EBSS 2012


Washiriki wa Washindano la EBSS 2012 ambao wamefanikiwa kuingia fainali ya shindano hilo wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa kuanza kwa fainali hizo. Ni ndani ya Ukumbi wa Diamond Jijini Dar es Salaam. Mshindi kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania.
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya simu za Mikononi ya Zantel, Awaichi Mawalla akiwa katika mahojiano na mmoja wa ma MC wa sho ya leo Caesar Daniel,wakati akingia katika zulia jekundu la Fainali za EBSS nadani ya Diamond Jubilee.
 
Chanzo: www.thechoicetz.com
 
 

No comments:

Post a Comment