Mwenyekiti Taifa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete

Kura zilizopigwa 2397
Kura halali - 2397
Kura zilizoharibika - 0
Kura za hapana - 2
Kura za ndio - 2395
Ameshinda kwa 99.92%
Makamu Mwenyekiti Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein

Kura zilizopigwa 2397
Kura halali - 2397
Kura zilizoharibika - 0
Kura za hapana - 0
Kura za ndio - 2397
Ameshinda kwa 100%
Makamu Mwenyekiti Bara Philip Mangula

Kura zilizopigwa 2397
Kura halali - 2397
Kura zilizoharibika - 0
Kura za hapana - 0
Kura za ndio - 2397
Ameshinda kwa 100%
No comments:
Post a Comment