Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, November 17, 2012

MAMA ASHA BILAL KTK MAONYESHO YA TATU YA WAKE WA MABALOZI DAR...!


Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa ‘International School’ Masaki leo Nov 17, 2012.


Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiangalia moja ya kitabu kilichokuwa katika banda la maonyesho, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa ‘International School’ Masaki leo Nov 17, 2012.


Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu utengenezaji wa Vikapu kutoka kwa mwakilishi wa Kikundi cha Women Craft, Edron Mwaku, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa ’International School’ Masaki leo Nov 17, 2012.


Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akivishwa urembo na Miss Tanzania 2008, Nasreen Karim, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye maonyesho ya 3 ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa ‘International School’ Masaki leo Nov 17, 2012.

Picha na OMR

No comments:

Post a Comment