Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, November 16, 2012

TAMKO LA ASKOFU METHOD KILAINI DHIDI YA GAZETI LA MWANANCHI...!


Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba nimeiponda safu ya uongozi na sekretariati ya CCM. Mimi sijaongea na gazeti lolote juu ya uongozi wa CCM na wala sina nia au sababu ya kuuponda uongozi huo. Ni vibaya kwa gazeti lo lote lile kutumia jina la mtu kwa kueneza maoni yake. Kama ni waugwana natumaini watasahihisha waliyoyaandika. Nasikitika sana kwa walikwazwa na hilo. Askofu Kilaini

Askofu Method Kilaini

Bukoba Catholic Diocese.

No comments:

Post a Comment