Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, November 6, 2012

SBC INAKUTANGAZIA NAFASI YA KAZI YA UHASIBU.!

 Kampuni ya SBC wasambazaji wabidhaa za vinywaji PEPSI inawatangazia nafasi yakazi kwa
Muhasibu anahitajika mwenye level ya Certificate au Diploma awe amesoma Quickbook,awe tayari kufanya kazi moshi,haraka iwezekanavyo alete CV na barua ikiwa imembatana na copy ya vyeti vyake halisi.kwa mawasiliano....0712788794 au tuma barua kupitia anuani ifuatayo;
SBC LTD,
P.O.Box 762,
Moshi.
Apply to FINANCE AND ADMINISTRATION 

 NB:Piga hiyo namba apo ukutane na muhusika na mpe barua yako mkononi maana ni maombi ya haraka


No comments:

Post a Comment