Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, November 16, 2012

PONDA AFIKISHWA MAHAKAMANI CHINI YA ULINZI MKALI....!

Ulinzi uliimarishwa katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya Sheikh Ponda Issa Ponda
Katika hali ya kuhakikisha hakuna tukio baya na la madhara kwa wanachi na mashambulizi ya kigaidi ndani ya jengo la mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini dar es Salaam kutokea, Polisi na vyombo vya ulinzi vimeweka utaratibu wa kuwapekea watu wote wanaoingia mahakamni hapo hasa siku za kesi tata. Pichani ni hali ilivyokuwa wakati wa kusikilizwa kwa kesi ya Shekhe Ponda na wenzake leo ambapo Watu waliofika kusikiliza kesi zao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu walipekuliwa na walinzi


Ponda akiwa Mahakamani. 
Picha zaidi HABARI MSETO BLOG

No comments:

Post a Comment